Timu yarejea kutoka Zanzibar

Kikosi chetu kimerejea kutoka Visiwani Zanzibar kilipoweka kambi ya siku chache kuelekea mchezo wetu wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa siku ya Ijumaa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa tatu usiku.

Timu iliondoka Jumanne kuelekea Zanzibar na imekaa siku saba na kufanya mazoezi chini ya Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha.

Baada ya kuwasili Dar es Salaam kikosi kimeingia kambini moja kwa moja na programu ya mazoezi itaendelea kama kawaida.

Kambi ya Zanzibar imeenda vizuri na wachezaji wote wamerudi wakiwa katika hali nzuri kimwili na kiakili.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER