read
news & Articles

Tunaitaka Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally ameweka wazi mipango ya klabu ni kuhakikisha timu inatinga nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa

Timu yafanya mazoezi Uwanja wa Amaan
Kikosi chetu kimefanya mazoezi usiku huu katika Uwanja wa nje wa New Amaan Complex kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Tumezindua Mtandao Mpya wa Simba Executive Networks
Kwa kushirikiana na Benki ya CRBD leo tumezindua Mtandao Mpya wa Simba Executive Networks ambao lengo lake kubwa ni kukusanya pesa kuendeleza miundombinu ya klabu

Kikosi chawasili salama Zanzibar
Kikosi chetu kimewasili salama Visiwani Zanzibar tayari kwa kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya

VIDEO: Timu kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kambi
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema kikosi chetu kitaondoka kesho kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuweka kambi ya siku saba kujiandaa

Tunakwenda kucheza Robo Fainali ya nne ya Ligi ya Mabingwa Machi 29
Ijumaa ya Machi 29 kikosi chetu kitacheza mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly mtanange utakaopigwa Uwanja wa Benjamin
