Nyota watatu Bernard Morrison, Luis Miquissone na John Bocco wameingia fainali ya kumsaka Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).
Kabla ya mchujo wa Kamati Maalumu ya tuzo hizo, nyota hao walikuwa watano akiwamo Rally Bwalya na Pascal Wawa.
Tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa mshabiki inadhaminiwa na Kampuni ya Emirate Aluminum Profile ambayo ilianza kutolewa Februari mwaka huu.
Mshindi kati ya nyota hao watatu ni yule atakayepata kura nyingi zitakazopigwa na mashabiki kupitia tovuti hii rasmi ya klabu.
Zoezi la kupiga kura litaanza leo usiku na litakamilika Julai 1 Mosi usiku na mshindi atakayetangazwa atajinyakulia kitita cha Sh 1,000,000 kutoka Emirate Aluminum Profile.
55 Responses
i need any updates
It’s good
Morrison katisha sana
Ni vizuri sana hii kitu
Please at all cost keep Lui Miqquison for this coming season, we need strong squad for the cuf champion league.
Miquison
Fungueni Matawi ya Simba sc kila Kata Kijiji,Mtaa by
Mwakinyuke nipo MBARALI kata ya MAPOGORO
Kijiji Cha UKWAVILA
Kitongoji Cha IBOHORA
MOBILE NUMBER +255789171900
+255763803300
Most definitely
Kwa mwezi huu morrison anastahili sana. Mechi ya nusu fainal dhidi ya Azam iliamriwa na uzoefu wake. Hata miquissone alipata confidence ya kugunga lile goli kisa BM3
BM3 IS THE BEST
Hongera sana Prof.Gomes kwa kazi nzuri unayoifanya,,,ila nakushauri uwe makini katika kuchagua wachezaji wa kuacha na kusajili tunapoelekea mwisho wa msimu ili kulinda hadhi ya klabu ya Simba ambayo kiukweli IPO juu kwa sasa./Congratulations Prof. Gomes for the good job that you are doing in simba sports club,I advice you to be careful in sorting players to sign and those ones to extend their contracts as we are going to the end of 2020 /2021 season! So as to continue keeping Simba’s status!
Tunaomba mwongozo kwa mashabiki wenu wa mikoani namna ya kupata kadi za uanachama na jinsi ya kulipia ikiwezekana hata kutengeza mfumo wa kizipata online. Kutoka Chimala Mbarali Mbeya
SIMBA SC fungueni matawi kuanzia kitongojini,vijijini,katani mpate wanachama wengi Sana kila mkoa
Mimi Ni Mwakinyuke .
Nipo Mbarali
Kata ya Mapogoro
Kijiji ch Ukwavila
kitongoji Cha Ibohora
Namba ya Simu Ni
+255789171900
+255763803300
Magoli ya simba yawe yanawekwa humu mapema
Leten na app asee 🦁🦁🙌🙌
Viongozi walioko mitaani , katani, wilayani na mikoani iwepo sababu.ya kuwa na ofisi katika sehemu hizo. Ili kujua idadi halisi ya mashabiki. Simba ni timu kubwa!
SANYIWA MWINAMILA NZUGAMAWE 0745769430
Mchezaji ambaye hana skendo toka amejiunga na Simba kwa kwel me mzalendo aise Bocco binafsi namuelewa sana
Msituangushe tarehe 03/07/2021. #NguvuMoja💪💪💪🦁
SANYIWA MWINAMILA NZUGAMAWE 0745769430 NIPO MPANDA KATAVI VIJIJINI TUNATA TAWI NAKADI ZACHAMA SIMBA NGUVU MOJA🙏
Kutoka Znbr Binafsi Simba naipenda sana na Siku tukipoteza mchezo naumwa na kichwa sana nakuwa nashindwa kufanya chochote kwa siku hiyoo
Kutoka Znbr Binafsi Simba naipenda sana na Siku tukipoteza mchezo naumwa na kichwa sana nakuwa nashindwa kufanya chochote kwa siku hiyoo
LUIS migissoni
Nashauri kwenye hili suala la mchezaji bora wa mwezi wa mashabiki,baada ya ule mchujo wa kwanza kufanyika wakibaki watatu wanao shindanishwa,Naomba muwe mnaweka na takwimu zao pia na itapendeza pia ikiwa kwa idadi sawa ya mechi hii itasaidia kupata mshindi sahihi
Morison mnyama mwenye akili zake💪
It’s proud to be a fun of the club #simbasx
Simba mnafeli sehemu mojaa asee club yangu, lipeni hamasa swala la kuwa na kadi za uanachama active… Tuzunguke taifa zima tuwape wanachama kadi ili tuingize mapato ya kutoshaaa…. Binafsi natamani kuona simba ikiwa na uwanja mzuri, nyumba nzuri za wachezaji na mishahara minonoo… Wakati ndio huu ambao mashabiki wako na amasa na timu na inafanya vizuri tuzunguke tukusanye pesa kutoka kwenye kadi za uanachama taifa zima tutapata billions ambazo zitatusaidia sana kwenye mambo makubwa ukiachana na mdhamini, get collection na hela za champions league
Nina imani ujumbe wangu utafanyiwa kazi 🙏
#nguvumoja
Mini
Morrison a super genius
Brothers and Sisters klabu ya Simba ndiyo tulizo la mioyo yetu! Hatujafanya makosa kwenye kuishabikia klabu hii, lakini itakuwa ni ajabu kama tutashindwa kujivunia klabu yetu na kuiunga mkono… vile vile viongozi waweke wazi klabu yetu inaingiza kiasi gani na matumizi yapoje kwa maana ipo siku tutajikuta tuko chali…. 🦁🔥
Utaratibu wa tuzo za mchezaji Kwa mashabiki unavutia na kupendeza pia unaleta chachu Kwa wachezaji
Waleteeee
Bm3 anasitahili tuzo hii japo hapati dakika nyingi za kucheza.
Katika kurasa rasmi ya Simba SC ningependa kuulizia kuhusu mwenendo wa mabadiliko ndani ya klab yetu umefikia wapi na kama kuna changamoto sisi mashabiki,wanachama na wapenzi wa Simba kwa kushirikiana na Bodi ya Wakurugenzi tutafute suluhu kwa pamoja, itakua aibu kama mchakato wa Yanga utaenda smooth na kutupita sisi tulioanza.
Ahsante
Ninaoongeza utaratibu wa utoaji tuzo, uko huru na uwazi. Utaongeza bidii kwa wachezaji wetu.
Nitumie nafasi hii adhimu pia kuongeza namna uongozi wa SIMBA SC unavyoendesha mambo kiuweledi na kudhihirisha timu imekuwa kubwa kiasi gani.
Viva Simba SC, #Nguvu Moja#
One love for our squads 💯 tar 3 tuwakalishe watani tuwafunge midomo🌅🔨
Morrison alikuwa ni balaa mwezi huu🔥🔥🦁
Simba ni moto
Kutoka Znbr Binafsi Simba naipenda sana na Siku tukipoteza mchezo naumwa na kichwa sana nakuwa nashindwa kufanya chochote kwa siku hiyoo
Morriston he deserve to be the best player
A very good platform for players to get motivated more and obviously it increase team performance that led to good results of the team! Congratulations to those who brought this!#Nguvu Moja
we love simba. b’cause. is a big club in Tz
All the best my favorite team simba sport club 🇹🇿
Morison anastahili apewe
Morrison akil nying
Anatuokoa saana
Napendekeza sisi Kam klabu ya Simba tuwe na Simba Archives (Jengo) ionyeshwe kweny televishen yetu ya Simba TV, itakayotunza na kuonyesh historia mbalimbali za klabu yetu.
Utaratibu huu ni mzuri sana ingawa changamoto ni pale inapotokea waliowekwa au wanaowekwa wote wanamchango mkubwa kwa kila mechi but kwa inshu ya juzi na Azam acha nimpe Morrison.
Mpeni Morrison hela yake chap, ameshashinda.😂
Swali? Wataleta timu uwanjan utopolo
Morrison anadiserve kuwa Bora mwezi huu hata uliopita cos kaonyesha kile alichonacho pia anacheza kwa moyo
Ningeomba kama itawezekana mje kutufungulia Tawi la Simba njiro Arusha maana mashabiki tunaoipenda Simba tupo wengi mno huku
Simba rahaaa!!! Jomonii#nguvu moja🤛
Simba inatisha
Bm3 katisha san
[url=http://slkjfdf.net/]Uhofusebe[/url] Izituqid nuu.ifgr.simbasc.co.tz.uzs.bj http://slkjfdf.net/