Leo saa moja usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kikosi chetu kitashuka dimbani kuikabili Raja Casablanca kwenye mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kikosi kamili kilichopangwa:
Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12),
Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Ismael Sawadogo (3), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (39), Clatous Chama (17).
Wachezaji wa Akiba
Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Mohamed Ouattara (33), Jonas Mkude (20), Kibu Denis (38), Jean Baleke (4), Habibu Kyombo (32), Moses Phiri (25).