Kikosi chetu kimewssili salama Visiwani Zanzibar tayari kwa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo inaendelea.
Tumekuwea video za matukio yote kuanzia jijini Dar es Salaam wakati tunaanza safari mpaka kufika Zanzibar na njiani jinsi ilivyokuwa.