Timu yafanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na Mtibwa

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Highland Morogoro kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Manungu Complex saa 10 jioni.

Morali za wachezaji zipo juu na wapo tayari kuhakikisha tunapambana kuhakikisha tunaanza kwa kupata alama tatu nyumbani.

Mchezo wa kesho ni wa kwanza wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 na malengo yetu ni kuanza kwa ushindi.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER