Timu yaanza safari ya kurejea nyumbani

Baada ya mchezo wa jana dhidi ya Wydad Casablanca kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea nyumbani kuendelea na ratiba nyingine.

Kikosi kimewasili Uwanja wa Ndege wa Casablanca kuanza safari ya kurejea ambapo kitapitia Doha Qatar kabla ya kurudi nyumbani.

Baada ya safari hiyo ndefu kikosi kinatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam kesho asubuhi.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER