Queens yafanya mazoezi ya mwisho

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Academia Fus Rabat kujiandaa na mchezo wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Determine Girls utakaopigiwa kesho saa 11 jioni.

Wachezaji wote wamefanya mazoezi hayo na jambo jema ni kwamba hakuna yeyote ambaye amepata majeraha na kusababisha kukosa mchezo wa kesho.

Tutaingia katika mchezo wa huo tukiwa na nia thabiti ya kupambana kupata ushindi ili kufufua matumaini ya kutinga hatua ya nusu fainali.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER