Queens kibaruani kuikabili Fountain Gate Leo

Timu yetu ya Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka kwenye Uwanja wa Uhuru kuikabili Fountain Gate katika muendelezo wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League.

Tutaingia katika mchezo wa leo tukifahamu utakuwa mgumu na kuiheshimu Fountain lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata alama tatu muhimu nyumbani.

Mchezo wa leo utakuwa wa nne kwetu tangu kuanza kwa ligi tukishinda mmoja, sare moja na kupoteza mechi moja pia.

Mechi hii itakuwa Live kupitia APP yetu kuanzia saa 9:40 Alasiri.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER