Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Azam
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu kutokana na ubora walionao wapinzani
Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo
Timu yetu ya Simba Queens kuanzia sasa itakuwa chini ya Kocha Mkuu, Yussif Basigi ambaye anachukua nafasi iliyoachwa na Juma Mgunda aliyemaliza mkataba wake.
KIkosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kabla ya kesho kuanza safari ya kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo
Tumefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly Tripoli kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahli Tripoli katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli kutoka Libya tutacheza
Mchezo wetu unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ‘Mzizima Derby’ utapigwa Septemba 26 katika Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani