
Tumeipiga mkono Kengold Ali Hassan Mwinyi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold uliopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umemalizika kwa kuibuka na ushindi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold uliopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umemalizika kwa kuibuka na ushindi
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa pamoja na Kengold kuwa wameshuka daraja lakini hatutawadharau kwakuwa tunahitaji kupata alama tatu muhimu ugenini. Matola
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Tabora tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold utakaopigwa Uwanja wa Ali Hassan
Daktari wa timu, Edwin Kagabo amesema wachezaji wote waliokuwa majeruhi wamerejea kikosini na wapo tayari kwa ajili ya mechi zilizopo mbele yetu. Mlinda mlango
Taasisi ya Super Brand imeitangaza klabu yetu ya kuwa Brand bora namba moja ya michezo nchini katika kipindi cha mwaka 2024-26. Simba tumekuwa vinara
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kikosi kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaopigwa Juni
Mchezo wetu wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 3-1 na kushindwa kutinga fainali.
Leo saa 9:30 jioni tutashuka dimbani kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup katika mtanange utakaopigwa Uwanja wa