U20 yatinga nusu fainali

Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimetinga nusu fainali ya baada ya kuifunga JKT Tanzania bao moja katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam. Mchezo ulianza kwa…