Dakika ya 1 - Mchezo tayari umeanza
29': Mchezo unaendelea timu zote zikishambuliana kwa zamu.
Khouribga 0-0 Simba SC
37 ': Bado - Khouribga 0-1 Simba SC (Sakho anatufungia goli la kwanza
Mpira Mapumziko tuko mbele kwa bao 1-0, mfungaji Pape Sakho
Advertisement
Dakika ya 61 Adama anaisawazishia Khouribga, Khouribga 1-1 Simba SC
87': Mchezo unaendelea timu zote zikiwa zimefungana goli 1-1.
90 ': Mchezo umeisha timu zikiwa zimefungana goli 1-1.
Full Time - Khouribga 1-1 Simba SC