Simba Sports Club
Pre Season Arusha

Habari Picha: Tazama Simba ilivyoondoka kwenda Arusha

5 Sep 2021

Kikosi cha timu yetu kimeondoka jioni hii kwa ndege kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

Wachezaji 21 na benchi zima la ufundi wameambatana katika safari hiyo.

Advertisement

Kikosi kinatarajia kurejea Dar es Salaam siku chache kabla ya kilele cha Simba Day, Septemba 19.

Back to homepage
Share this story