read
news & Articles

Kwaheri Fabrice Ngoma
Ni rasmi kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa mashindano 2025/2026. Ngoma raia wa DR Congo alijiunga na kikosi

Omari Omari arejea Mashujaa kwa Mkopo
Kiungo mshambuliaji, Omari Omari amejiunga kwa mkopo na Mashujaa FC wa mwaka mmoja kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano 2025/2026. Omari alijiunga nasi msimu

Mo awataka Wanasimba kuwa watulivu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ambaye ni Rais wa Klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amewataka mashabiki na wapenzi wa timu yetu kuwa watulivu kipindi hiki wakati

Sita waitwa Stars kujiandaa na CHAN
Nyota wetu sita wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afrika kwa wachezaji wa

Tumepoteza Dabi ya Kariakoo
Mchezo wetu wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0. Mchezo huo ulianza kwa kasi

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Yanga
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu