read
news & Articles

Tumezipata pointi zote tatu Jamhuri Dodoma
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji uliopangwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa bao moja.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Dodoma Jiji
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri kuikabili Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa kikosi kamili

Tupo Jamhuri Dodoma kuikabili Dodoma Jiji
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma

Tumezindua Simba Executive Networks Dodoma
Klabu yetu ikishirikiana na Benki ya NMB imezindua Simba Executive Networks jijini Dodoma kwa ajili ya kukusanya mapato ambapo Naibu Spika wa Bunge, Azan Zungu

Alichosema Ahmed kabla ya timu kuelekea Dodoma
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi

Timu ya vijana yaendelea kufanya vizuri
Timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 imeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa pili wa
