read
news & Articles

Tumepata Ushindi Kilele cha Simba Day
Mchezo wetu wa kirafiki wa kilele cha Simba Day dhidi ya APR uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Tumetambulisha kikosi chetu cha Msimu wa 2024/25
Leo katika kilele cha Simba Day tumetambulisha kikosi chetu tukakachokitumia katika michuano mbalimbali katika msimu wa mashindano 2024/25. Hiki hapa kikosi chetu Makipa 1. Ally

Rais Samia atuma salamu za pongezi za Simba Day
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Wanasimba wote kwa kufanikisha Tamasha bora la Simba Day

Queens yaichakaza Mlandizi Simba Day
Kikosi chetu cha Simba Queens kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa kirafiki wa ufunguzi wa Simba

VIDEO: Mashabiki waanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa
Mageti ya Uwanja wa Benjamin Mkapa yamefunguliwa na tayari mashabiki wetu wameanza kuingia kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Simba Day. Tazama video hii hadi

Kauli ya Kocha Fadlu Kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya APR
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya APR wa kilele cha Simba Day utakuwa mzuri ambao utatupa picha kuelekea msimu ujao wa