read
news & Articles

VIDEO: Awesu afunguka baada ya mazoezi ya kwanza Misri
Kiungo mshambuliaji Awesu Awesu amesema ndoto yake ya siku nyingi ya kuchezea Simba imetimia rasmi leo na ni jambo la furaha kwake. Awesu amesema baada

Duchu: Kambi ya Misri inatujenga
Mlinzi wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ amesema kambi yetu ya maandalizi inayoendelea nchini Misri inazidi kuwamairisha kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25. Duchu amesema wachezaji

Ni Rasmi tutacheza na Yanga Ngao ya Jamii Agosti 8
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza tutacheza dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa Uwanja

Awesu Awesu ni Mnyama
Kiungo mshambuliaji Awesu Awesu amejiunga nasi kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga nasi akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na

Queens wafanyiwa Vipimo vya Afya
Wachezaji wa Simba Queens jana na leo wamefanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024/25. Vipimo hivyo vimegawanyika katika

Kwaheri Pa Omar Jobe
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji Pa Omar Jobe baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe (25) raia wa Gambia
