read

news & Articles

Karibu Simba Alassane Kante

Kiungo mkabaji, Alassane Maodo Kante amejiunga na kikosi chetu kutoka CA Bizertin ya Tunisia kwa mkataba wa miaka miwili huku tukiwa na kipengele cha kuongeza

Kwaheri Che Fondoh Malone

Mlinzi wa kati, Che Fondoh Malone hatakuwa sehemu ya kikosi chetu kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026 baada ya kujiunga na USM Algiers ya Algeria

Rushine De Reuck ni Mnyama

Mlinzi wa kati, Rushine De Reuck amejiunga na kikosi chetu kutoka Mamelodi Sundowns kwa mkataba wa mwaka mmoja huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka

Timu kuondoka alfajiri kuelekea Misri

Kikosi chetu kitaondoka kesho alfajiri Julai 30, kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu wa mashindano (Pre Season) kwa takribani

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC