read
news & Articles

Simba Queens, PVP Buyenzi hakuna mbabe
Mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) dhidi ya Buyenzi kutoka Burundi uliopigwa

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili PVP Buyenzi
Leo saa sita na nusu mchana kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili PVP Buyenzi kutoka Burundi katika mchezo wa mwisho wa kundi

VIDEO: Timu yaendelea na Mazoezi Mo Arena
Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate FC utakaopigwa

Queens yafanya mazoezi ya mwisho kuivutia kasi Buyenzi
Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa TEFSA MEDA kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa

Tumetinga Nusu Fainali CECAFA
Ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya Kawempe Muslim kutoka Uganda umetuwezesha kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Ukanda wa Afrika Mashariki na

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Kawempe Muslim
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Kawempe Muslim kutoka Uganda katika mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika
