read
news & Articles

Timu yarejea, Zimbwe Jr atoa neno
Nahodha wa timu Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema kikosi chetu kipo tayari kupambana hadi mwisho katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi

Timu yaanza safari ya kurejea nyumbani
Kikosi chetu kimeondoka Libya kuelekea nchini Uturuki tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya Al Ahli Tripoli. Baada ya

VIDEO: Wachezaji wametimiza majukumu yao asilimia 100
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema katika mchezo wa jana dhidi ya Al Ahli Tripoli wachezaji walitimiza majukumu yao kwa asilimia 100

Tumeanza kwa sare ugenini
Mechi yetu ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli iliyopigwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli umemalizika kwa sare ya

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahli Tripoli
Leo saa mbili usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kuikabili Al Ahli Tripoli kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mshambuliaji

Tunatupa karata ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika leo
Kikosi chetu leo kitashuka katika Uwanja wa Kimataifa wa Tripoli kucheza na Al Ahli Tripoli katika mchezo wa hatua ya kwanza ya Kombe la Shirikisho
