read
news & Articles

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Kawempe Muslim
Leo saa tano asubuhi kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila kuikabili Kawempe Muslim kutoka Uganda katika mchezo wa kutafuta mshindi

Queens yafanya mazoezi ya mwisho Abebe Bikila
Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Abebe Bikila kwa ajili ya mchezo wa kesho wa kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Kawempe

VIDEO: Timu kuingia kambini kesho
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema kikosi chetu kesho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan

Tumetolewa Nusu Fainali CECAFA
Kikosi chetu kimeshindwa kutinga fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kupoteza kwa mabao 3-2 dhidi

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Police Bullets
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Police Bullets kutoka Kenya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa

Tumepata Pointi tatu muhimu za Fountain Gate
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Edwin
