read
news & Articles

Mchezo wetu dhidi ya JKT Tanzania umeahirishwa
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirishwa kwa mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania ambao ulipangwa kuchezwa kesho katika

Tumezipata alama tatu za Namungo
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa kupata ushindi mnono wa mabao 3-0. Shomari

Kikosi Kitachotuwakilisha dhidi ya Namungo
Leo saa 10:15 Kikosi kitashuka katika uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Hiki hapa Kikosi kamili kilichopangwa:

Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo
Tupo tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo Kikosi chetu leo saa 10:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo FC katika mchezo wa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Kauli ya Kocha Wilken kuelekea mchezo dhidi ya Namungo
Kocha Msaidizi, Darian Wilken amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi kwenye uwanja
