read

news & Articles

Tumetoka sare na KMC

Kikosi chetu leo kimecheza mechi ya kirafiki ya kimazoezi dhidi ya KMC iliyomalizika kwa sare ya kufungana bao moja iliyopigwa katika dimba la KMC Complex.

Timu yaendelea na Mazoezi Mo Arena

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC