read
news & Articles

Mazoezi ya mwisho kabla ya kuifuata Polisi Tanzania
Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya mwisho katika viwanja vyetu vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa

Bocco akabidhiwa tuzo yake ya mwezi Mei
Nahodha John Bocco leo amekabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Mwezi Mei (Emirate Aluminium Simba Fans Player Of The Month) na Kampuni

U20 yatinga nusu fainali
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimetinga nusu fainali ya baada ya kuifunga JKT Tanzania bao moja katika mchezo

Ni Do or Die kwa vijana wetu mbele ya JKT leo
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20, leo usiku kitashuka dimbani kuikabili JKT Tanzania katika mchezo ambao tunapaswa kushinda ili

Gomez kuongoza mazoezi mwenyewe leo
Kocha Mkuu Didier Gomez leo ataongoza mazoezi baada ya kurejea kutoka mapumziko ya siku chache kutokana na kusimama kwa ligi kupisha mechi za kirafiki za

Ushindi dhidi ya Mwadui waongeza mzuka wa kuifikia nusu fainali
Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kimeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa