read
news & Articles

Hivi ndivyo tulivyomaliza Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC 2024/25
Ushindi wa bao moja tuliopata jana dhidi ya Singida Black Stars ugenini ulikuwa mchezo wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC

Tumemaliza Mzunguko wa kwanza Kibabe
Mchezo wetu wa mwisho wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars uliopigwa Uwanja wa Liti umemalizika kwa ushindi

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha

Tunataka kukamilisha mzunguko wa kwanza Ligi kuu tukiwa kileleni
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Liti mkoani Singida kwa ajili ya kuikabili Singida Black Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu

Queens yaendeleza makali yake Mara
Simba Queens imeendeleza ubabe baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bunda Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa katika

Kikosi kilichopangwa kuikabili Bunda Queens
Simba Queens leo saa 10 jioni itashuka katika Uwanja wa Karume mkoani Mara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) dhidi
