read
news & Articles

Bocco: Matokeo ya jana yametushtua
Nahodha John Bocco ameweka wazi kuwa matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya watani wetu Yanga yametushtua na tunatakiwa kujipanga kuelekea msimu mpya wa ligi.

Simba kupaa jioni kuifuata Biashara Mara
Kikosi chetu leo saa 12 jioni kitasafiri kwa ndege kuelekea jijini Mwanza kabla ya kwenda Mara tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi

Haikuwa bahati yetu
Kikosi chetu kimepoteza kwa bao moja dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii ikiwa ni kiashiria cha kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu

Mugalu kuongoza mashambulizi dhidi ya Yanga, Sakho Kanoute ndani
Mshambuliaji Chris Mugalu amepangwa kuongoza mashambulizi dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga leo ambao utaanza saa 11 jioni katika

Simba wakali Ngao ya Jamii
Leo saa 11 jioni tutashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga huku tukiwa na historia ya kuchukua

Simba kamili kuivaa Yanga kesho
Kikosi chetu leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Yanga kesho katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11
