read
news & Articles
Simba kuja kivingine dhidi ya Yanga
Kocha Msaidizi Seleman Matola ameweka wazi kuwa mchezo wa watani wa jadi kesho dhidi ya Yanga tutaingia kivingine na kutoruhusu makosa kama kwenye michezo iliyopita
Gomez aigawa tuzo yake benchi la ufundi
Muda mfupi baada ya kutangazwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania, Kocha Mkuu Didier Gomez amesema tuzo hiyo ni kwa ajili ya benchi
Gomez, Chama wang’ara tuzo za VPL
Kocha Mkuu, Didier Gomez na kiungo wetu mshambuliaji Clatous Chama wameibuka kidedea kwenye tuzo za mwezi Aprili za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kocha
Simba yaendelea na mazoezi kumvutia kasi mtani
Kikosi chetu leo jioni kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya watani wa jadi
Chama akabidhiwa tuzo yake ya mwezi Aprili
Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama leo amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Chama
Chama mchezaji bora mwezi Aprili
Kiungo mshambuliaji, Clatous Chama amechaguliwa mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi wa Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). Chama raia wa Zambia