read
news & Articles

Timu kambini kujiandaa na JKT Tanzania
Kikosi chetu jioni ya leo kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa hatua ya tatu ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya JKT

Pablo awamwagia sifa wachezaji
Kocha Mkuu Pablo Franco, amewasifu wachezaji wetu kwa kiwango safi na kujituma muda wote katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga. Pablo

Derby ya Dar haina mbabe
Mechi dhidi ya watani wetu Yanga imemalizika kwa sare ya bila kufungana huku tukicheza soka safi na kutawala sehemu kubwa ya mchezo kitu ambacho kiliwachanganya

Tupo tayari kwa Derby ya Dar
Kikosi chetu kiko tayari kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hatufungwi mara mbili na Yanga
Kaimu Ofisa Habari wa klabu, Ally Shatry ‘Chico’ amesema maandalizi kuelekea mchezo wetu wa ligi kuu dhidi ya Yanga yanaendelea vizuri na wachezaji wote wapo

Damons kocha mpya wa makipa
Klabu yetu imemtangaza Kocha Mpya wa Makipa, Tyron Damons raia wa Afrika Kusini (43) akichukua nafasi ya Milton Nionov ambaye mkataba wake ulisitishwa miezi miwili
