read
news & Articles

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho

Matola: Tunaiheshimu JKT Tanzania
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakuwa mgumu na tutaingia uwanjani kwa kuwaheshimu. Matola

Queens yaendeleza ushindi Ligi ya Wanawake
Simba Queens imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania TWPL baada ya kuifunga Mashujaa Queens mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa katika

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Mashujaa Queens
Simba Queens leo saa 10 itashuka katika dimba la Kituo cha TFF, Kigamboni kuikabili Mashujaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).

Tumechukua alama tatu Kibabe Kaitaba
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-2 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika dimba la

Mpanzu kuongoza mashambulizi dhidi ya Kagera Sugar
Kiungo mshambuliaji, Elie Mpanzu ataongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa Kaitaba. Usajili
