read
news & Articles
Simba yaangukia Shirikisho CAF
Kupoteza kwa mabao 3-1 nyumbani dhidi ya Jwaneng Galaxy kumetufanya kutolewa katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo tutashiriki Kombe la Shirikisho. Matokeo hayo
Bocco kuongoza mashambulizi dhidi ya Galaxy
Nahodha John Bocco amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa leo saa 10 jioni
Tuko tayari kumalizia tulipoishia Botswana
Leo jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kikosi chetu kitashuka dimbani kuikabili Jwaneng Galaxy kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Mchezo wa leo
Inonga awaita mashabiki kuweka rekodi kwa Mkapa kesho
Mlinzi wa kati Henock Inonga Baka, amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa kesho wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng
Kapombe: Tupo tayari asilimia 100
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe amesema kwa upande wao wachezaji wana utayari wa asilimia 100 kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi
Kipaumbele kuingia makundi, ushindi mnono baadaye
Kocha Msaidizi Thierry Hitimana, amesema katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy utakaopigwa Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa tunahitaji