read
news & Articles
Tunarejea kwa Mkapa NBC Premier kwa mara ya kwanza
Baada ya kucheza mechi mbili mikoani kwa mara ya kwanza leo kikosi chetu kinarejea kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa
Gomes: Nitabaki kuwa shabiki mkubwa wa Simba
Aliyekuwa Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema Simba itabaki moyoni mwake na ataendelea kuishabikia kutokana na ushirikiano mkubwa alioupata muda wote aliokuwapo. Gomes amesema ataendelea kuiunga
Simba yapangwa na Red Arrows ya Zambia Shirikisho Afrika
Kikosi chetu kimepangwa na Red Arrows kutoka Zambia katika mchezo wa mtoano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika. Droo ya michuano hiyo imefanyika jijini Cairo
TAARIFA KWA UMMA
Klabu ya Simba imeridhia ombi la aliyekuwa Kocha Mkuu, Didier Gomes da Rosa la kuachana na Simba kuanzia leo tarehe 26.10.2021 Baada ya tathmini na
Simba yaingia kambini kujiandaa na Polisi Tanzania
Kikosi chetu kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Jumatano katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja
Kauli ya Kocha Hitimana baada ya matokeo ya jana
Kocha msaidizi Hitimana Thierry ameweka wazi kuwa tulipaswa kumaliza mchezo wa jana kipindi cha kwanza baada ya kupoteza nafasi kadhaa za kufunga. Hitimana amesema nafasi