read
news & Articles

Pablo hajafurahishwa na sare ya Yanga
Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema hajafurahishwa na sare ya bila kufungana tuliyopata dhidi ya Yanga kwa kuwa lengo letu lilikuwa tupate pointi zote tatu. Pablo

Tumegawana pointi na Yanga
Mechi yetu ya Ligi Kuu ya NBC ya Derby dhidi ya Yanga iliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Makipa wa

Tumegawana pointi na Yanga
Mechi yetu ya Ligi Kuu ya NBC ya Derby dhidi ya Yanga iliyofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa imemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo ulianza

Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Yanga leo
Mshambuliaji Chris Mugalu ataongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Aprili 30, saa

Tunataka kuvunja rekodi yao leo
Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ya mzunguko wa pili.

Queens yaendeleza dozi ilipoishia
Timu yetu ya Wanawake Simba Queens imeendelea kukusanya alama tatu baada ya kuifunga Ilala Queens mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti