read
news & Articles

Ahmed awaita Wanakibamba Simba Day Septemba 10
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba Wanasimba kutoka Kibamba kujitokeza kwa wingi kwenye Tamasha letu la Simba Day litakalofanyika Septemba 10 katika

Wiki ya Simba Kuzinduliwa Mafinga Agosti 31
Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally ametangaza tarehe rasmi ya uzinduzi wa wiki ya Simba ambayo itazinduliwa katika Viwanja vya Wambi wilaya ya mufindi Mafinga

LIVE: Semaji linanguruma kutoka Serena Hotel
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally anazungumza na Waandishi wa Habari muda huu kutoka Serena Hotel kuelekea wiki ya Simba Day. Fuatilia hapa

Karibu Simba Neo Maema
Tumekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Neo Maema kutoka Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa mkataba wa mwaka mmoja huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwingine

Tumepata ushindi dhidi ya Al Zulfi
Kikosi chetu kimeibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya Al Zulfi inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza nchini Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo

Uzinduzi wa Jezi mpya kufanyika Kimataifa Super Dome Agosti 27
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema uzinduzi wa jezi zetu za msimu 2025/2026 zitazinduliwa Agosti 27 katika ukumbi wa Super Dome Masaki kuanzia saa