read
news & Articles

Dabi ya Mzizima yaisha kwa sare
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ‘Mzima Dabi’ uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa sare ya kufungana mabao 2-2.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kuelekea mchezo huo

Tupo tayari kwa Dabi ya Mzizima
Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Azam FC katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo huo mkubwa

VIDEO: Msigwa akabidhi milioni 10 ya goli la mama
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa amekabidhi kitita cha milioni 10 kwa wachezaji ikiwa ni zawadi ya Rais wa

Alichosema Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya Azam
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema maandalizi ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa

Mechi dhidi ya Azam kupigwa Benjamin Mkapa
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda mchezo wetu namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ambao ulipangwa kufanyika
