read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Masry
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo fainali

Tunaitaka Nusu Fainali ya CAFCC Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Masry katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Al Masry
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika kipindi cha wiki nzima tangu kikosi kirejee kutoka Misri amekuwa akiwasisitiza wachezaji kwenye kufunga mabao ili kuweza kufanikiwa kufuzu

Ahmed: Mwanasimba kesho usibaki nyumbani
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amewaomba mashabiki kujitokeza uwanjani kesho katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

VIDEO: Mwenyekiti Mangungu asema hatutishwi na yeyote
Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu ameweka wazi kuwa pamoja na kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika bado

VIDEO: Mzee Azim awaita mashabiki kwa Mkapa kuweka historia
Mwanachama mwandamizi na mdhamini wazamani wa Klabu, Mzee Azim Dewji amewaomba wapenzi na mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili
