read
news & Articles

Tumepangwa na Al Masry Robo Fainali Shirikisho
Droo ya hatua ya robo fainali imekamilika Doha, Qatar na tumepangwa kucheza na Al Masry kutoka Misri. Tutaanzia ugenini mchezo wa kwanza utapigwa kati ya

Ahmed: Tupo tayari kupangwa na yoyote robo fainali Kombe la Shirikisho
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kwa ukubwa wa kikosi chetu hatuna shaka ya kupangwa na timu yoyote katika hatua ya robo

Tumevunja mwiko Uwanja wa Majaliwa
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC huku tukivunja mwiko katika Uwanja wa Majaliwa

Kikosi kitakachoanza dhidi ya Namungo FC
Kikosi chetu leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha

Tupo Kamili Kuivaa Namungo Leo
Kikosi leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi kuikabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mechi za

Fadlu: Tumepata muda mzuri kujiandaa dhidi ya Namungo
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema baada ya mchezo wetu dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa wikiendi iliyopita kikosi chetu kimepata muda mrefu wa kujiandaa kabla ya
