read
news & Articles

Tunarejea NBC kwa kuanza na Mashujaa Leo
Baada ya mapumziko ya takribani mwezi mmoja wa kusimama Ligi Kuu ya NBC kupisha michuano ya Mapinduzi na AFCON kikosi chetu leo kinarejea kuikabili Mashujaa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Lake Tanganyika
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kujiandaa na mchezo Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa kesho saa 10 jioni.

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate Princess
Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kuikabili Fountain Gate Princes katika mchezo wa Ligi Kuu

Tumepangwa na TRA 32 bora ASFC
Droo ya hatua ya 32 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) imekamilika na tumepangwa kucheza na timu ya TRA FC kutoka Kilimanjaro.

Alichosema Kocha Matola kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mashujaa
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema tunaamini mchezo wa kesho dhidi ya Mashujaa FC utakuwa mgumu kutokana na ubora wa wapinzani lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi.

Queens yafanya mazoezi ya mwisho Jamhuri
Timu yetu ya Simba Queens imefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Wanawake