read
news & Articles

VIDEO: Dkt. Kagabo aelezea hali ya majeruhi kikosini
Daktari wa timu, Edwin Kagabo amesema wachezaji wote waliokuwa majeruhi wamerejea kikosini na wapo tayari kwa ajili ya mechi zilizopo mbele yetu. Mlinda mlango Moussa

Simba Brand namba moja ya Michezo 2024-26
Taasisi ya Super Brand imeitangaza klabu yetu ya kuwa Brand bora namba moja ya michezo nchini katika kipindi cha mwaka 2024-26. Simba tumekuwa vinara nchini

VIDEO: Ahmed azungumzia ratiba ya timu
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema kikosi kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaopigwa Juni 15,

Tumeshindwa kutinga fainali ya CRDB Federation
Mchezo wetu wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup uliopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 3-1 na kushindwa kutinga fainali. Jonathan

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Singida Black Stars
Leo saa 9:30 jioni tutashuka dimbani kuikabili Singida Black Stars katika mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup katika mtanange utakaopigwa Uwanja wa Tanzanite

Saba waitwa Taifa Stars
Nyota wetu saba wameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kirafiki za Kimataifa pamoja na