read
news & Articles

VIDEO: Kibu afunguka baada ya ushindi dhidi ya Kengold
Kiungo mshambuliaji Kibu Denis amesema licha ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa

Tumeipiga mkono Kengold Ali Hassan Mwinyi
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold uliopigwa katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora umemalizika kwa kuibuka na ushindi mnono

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kengold
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tupo tayari kuwakabili Kengold Ali Hassan Mwinyi
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kuikabili Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ni

Alichosema Kocha Matola kuelekea mchezo dhidi ya Kengold
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa pamoja na Kengold kuwa wameshuka daraja lakini hatutawadharau kwakuwa tunahitaji kupata alama tatu muhimu ugenini. Matola amesema

Timu yawasili salama Tabora
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Tabora tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kengold utakaopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi