Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahly

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili katika mchezo wa leo dhidi ya Al Ahly ukilinganisha na kile kilichocheza mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam.

Robertinho amemuanzisha Sadio Kanoute akichukua nafasi ya Muzamiru Yassin na John Bocco akichukua nafasi ya Luis Miquissone.

Hiki hapa kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Henock Inonga (29), Che Malone (20), Fabrice Ngoma (6), Sadio Kanoute (8), Kibu Denis (38), Clatous Chama (17), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (10).

Wachezaji wa Akiba:

Ayoub Lakred (36), Kennedy Juma (26), Hussein Kazi (16), Israel Patrick (5), David Kameta (3), Abdallah Hamisi (13), Mzamiru Yassin (19), Luis Miquissone (11), Moses Phiri (25), Willy Onana (7), Jean Baleke (4), Shaban Chilunda (27).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER