Hiki hapa Kikosi cha Simba Queens kitakachoikabili PVP FC

Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens l, Hababuu Ally ameweka wazi majina ya wachezaji 11 watakaoshuka dimbani kuikabili PVC Buyenzi ya Burundi katika mchezo wetu wa kwanza wa Caf Women’s Champions League Cecafa Qualifiers 2021.

Mchezo huo utaanza saa 10 jioni katika Uwanja wa Nyayo ukitanguliwa na mechi ya kwanza ya kundi A kati ya Lady Doves dhidi ya FAD FC.

Kikosi cha Simba Queens kiliwasili hapa Kenya siku nne zilizopita hivyo wachezaji wameshazoea mazingira na wapo tayari kwa michuano hii mikubwa kwa wanawake barani Afrika.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

 1. Janeth Shija
 2. Doto Evarist
 3. Fatuma Issa
 4. Violeth Nicholas
 5. Julieth Singano
 6. Danai Bhobho
 7. Asha Djafar
 8. Joelle Bukuru
 9. Mawete Musolo
 10. Zena Khamis
 11. Ruth Kipoyi

Wachezaji wa akiba

 1. Zubeda Mgunda (Gk)
 2. Maimuna Khamis
 3. Violeth Thadeo
 4. Jackline Albert
 5. Shelda Boniface
 6. Koku Kipanga
 7. Silvia Thomas
 8. Aisha Juma
SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER