Miquissone achomoa dakika ya mwisho
Bao la dakika ya mwisho lililofungwa na Luis Miquissone limetupa sare dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo mkali uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa leo

Kikosi kimetua nchini mchana wa leo