Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Kocha Fadlu Davids amefanya mabadiliko ya wachezaji watano ukilinganisha na kikosi kilichocheza mechi iliyopita dhidi ya JKT Tanzania.
Fadlu amewaanzisha Mohamed Hussein, Augustine Okajepha, Elie Mpanzu na Leonel Ateba wakichukua nafasi za Valentine Nouma, Yusuph Kagoma, Debora Fernandes, Kibu Denis na Steven Mukwala.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Moussa Camara (26), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Karaboue Chamou (2), Abdurazak Hamza (14), Augustine Okejepha (25), Elie Mpanzu (34). Fabrice Ngoma (6), Leonel Ateba (13), Jean Charles Ahoua (10), Joshua Mutale (7).
Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), David Kameta (3), Valentin Nouma (29), Che Malone Fondoh (20), Kibu Denis (38), Debora Fernandes (17), Steve Mukwala (11), Ladack Chasambi (36), Alexander Erasto (42), Adolf Hamis (50),