
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Pamba Jiji
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Pamba utakaopigwa kesho katika Uwanja wa KMC Complex utakuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohamed Dewji ‘Mo’ leo ameongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi ambacho lengo lake ni kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema wachezaji wetu wameandaliwa kimwili na kiakili kucheza mechi hizi za mwisho wakati ligi ikiwa inaelekea ukingoni. Matola amesema ligi
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa
Kocha Msaidizi, Seleman Matola ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa FC utakuwa mgumu lakini tumejiandaa kuhakikisha
Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema kwa takribani miaka sita Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ amekuwa
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Moses Mabhida kuikabili Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya pili
Kikosi chetu kimewasili salama katika mji wa Durban tayari kwa mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch
Kocha mkuu, Fadlu Davids amesema amewaandaa wachezaji kimwili na kiakili kuelekea mchezo wa hatua ya 32 bora ya CRDB Federation Cup dhidi ya TMA