VIDEO: Timu yawasili salama Ivory Coast

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Abidjan nchini Ivory Coast kamili kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Ijumaa katika Uwanja wa Felix – Houphouet – Boigny saa nne usiku.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa tangu wakiwa angani hadi walivyowasili Abidjan.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER