VIDEO: Timu yaondoka kuelekea Misri

Kundi la kwanza la kikosi chetu limeondoka jioni kuelekea Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu ya maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024/25.

Tazama hapa kuona jinsi ilivyokuwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER