Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuweka miili sawa.
Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo tayari kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Geita Gold.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.