Kikosi chetu kimeondoka jijini Dar es Salaam alfajiri kuelekea Ivory Coast tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Ijumaa saa nne usiku.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi kikosi kilivyowasili Uwanja wa Ndege kabla ya kuanza safari.