VIDEO: Mutale afunguka mengi kuhusu kujiunga nasi

Kiungo mshambuliaji, Joshua Mutale amesema amepata mapokezi makubwa kwenye mitandao ya kijamii tangu alipojiunga na timu yetu.

Mutale amesema mashabiki wamekuwa wakimpa ushirikiano na yeye akishirikiana na wachezaji wenzake kuhakikisha timu inafanya vizuri.

Tazama video hii hadi mwisho Mutale amezungumzia pia kuhusu mipango yake binafsi ya kuisaidia timu kufanya vizuri.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER